Mwaka wa Utukufu kwenda viwango vingine

Penuel Revival Temple:
Kukuunganisha na Yesu.

Yohana 17:22 — "Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja."

Penuel Revival Temple Church

Karibu Kanisani

Mahali pa Imani, Tumaini na Ushirika

Ibada Zetu

Ratiba ya Worship Services

Karibu ushiriki nasi katika ibada zetu za wiki na Jumapili kupata chakula cha kiroho na ushirika.

Ibada ya Jumapili (Sunday Worship)

Venue: Main Sanctuary Church

Muda: 07:30 AM - 12:00 PM

Kiongozi: Mch Motomkali

Ibada Kuu ya Wiki

Bible Study (Darasa la Biblia)

Venue: Fellowship Hall

Muda: Jumamosi, 05:00 PM - 06:30 PM

Kiongozi: Judith Masawe

Children's Church & Youth

Venue: Kids Room / Youth Center

Muda: Jumapili, 08:00 AM (Watoto) / Jumamosi, 03:00 PM (Vijana)

Kiongozi: Blandina Kitundu / Sonia

Live Broadcast

Ibada Zetu Live Stream

Tazama ibada zetu moja kwa moja kupitia YouTube Live na Facebook Live. Kama hatuko hewani kwa sasa, kihesabu (countdown) hapa chini kinaonyesha muda uliobaki hadi ibada inayofuata ya Jumapili asubuhi.

00
Siku
00
Saa
00
Dakika
00
Sekunde
YouTube Live Facebook Live

Matangazo Yako Nje ya Mtandao

Devotional ya Leo

Maombi ya Leo

"Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu, asema Bwana. Kama mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu." Isaya 55:8-9

Tafakari ya Leo

Wakati mwingine tunapitia changamoto na kupanga mipango yetu tukiamini ndiyo njia bora zaidi. Lakini Mungu ana picha kubwa zaidi ya maisha yetu. Kujisalimisha kwenye njia zake hutuletea amani isiyo na mwisho.

Ombi la Leo

"Baba Mtakatifu, ninaomba unipe moyo wa kukutumaini hata pale ambapo njia zako sizielewi. Ninaachilia mipango yangu mikononi mwako. Amina."

Ratiba ya Kusoma Biblia

Reading Plan ya Wiki Hii

Jiunge na maelfu ya waumini wanaosoma Biblia kila siku kwa kutumia ratiba yetu ya kusoma kwa mwaka mzima.

Jumatatu Mwanzo 1-3 & Mathayo 1
Jumanne Mwanzo 4-6 & Mathayo 2
Jumatano Daniel 12:5 & Daniel 7:25
Alhamisi Mwanzo 10-12 & Mathayo 4
Idara na Huduma

Jiunge na Huduma Inayokufaa

Kila idara ni fursa ya kukua kiroho na kutumika kwa vipawa ulivyopewa na Mungu.

Idara ya Wanawake (WWK)

Kuhamasisha kanisa na akina mama kiroho.

Soma zaidi →

Idara ya Wanaume (CMF)

Kujenga misingi ya kifamilia na uongozi.

Soma zaidi →

Sifa na Kuabudu

Kuongoza ibada kwa uimbaji na ala za muziki.

Soma zaidi →

Idara ya Vijana

Kujenga ujana wenye utakatifu na mafanikio.

Soma zaidi →
Ushuhuda na Ushindi

Matendo Makuu ya Mungu Wetu

Kusikia jinsi Mungu anavyobadilisha maisha ya waumini katika uponyaji, wokovu, na ukombozi huleta imani.

JK

Joseph Kitundu

Ushuhuda wa Uponyaji

"Nilisumbuliwa na tatizo la mgongo kwa zaidi ya miaka mitatu, nilishindwa hata kuinama. Baada ya kuombewa katika ibada ya Ijumaa na Mch Motomkali, niliponywa kabisa na sasa nafanya kazi bila maumivu!"

AM

Anna Madege

Ushuhuda wa Ukombozi

"Familia yetu ilikuwa kwenye migogoro mizito na tishio la talaka. Tulipokuja kwenye ibada ya maombezi, Mungu alirejesha amani na upendo."

SM

Samwel Masawe

Ushuhuda wa Wokovu

"Nilikuwa nimezama kwenye ulevi na kukata tamaa ya maisha. Nilipokaribishwa kanisani nilimkabidhi Yesu maisha yangu. Nimekuwa kiumbe kipya."

Online Giving

Kila mtu na atoe kama alivyokusudia moyoni mwake (2 Wakorintho 9:7)

Sadaka na michango yako inatusaidia kueneza Injili ya wokovu na kuboresha miundombinu ya kanisa letu. Unaweza kutoa Sadaka ya Kawaida, Usemasi, au Sadaka ya Ujenzi salama kabisa.

Toa Sadaka Mtandaoni